Saturday, November 30, 2013
Wednesday, November 27, 2013
Kama unataka jibu kuhusu hizi picha zilizosambaa za Mrisho Ngassa na Snura mapenzini
Monday, November 25, 2013
Sunday, November 24, 2013
Friday, November 22, 2013
Zitto Kabwe kuvuliwa nyadhifa zote Chadema.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemvua nyadhifa zote Naibu Katibu mkuu wake Zitto Kabwe ambae ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.
Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye makao makuu ya chama hicho, amesema Zitto na wenzake watatu wamebainika kukihujumu chama kwa kuanzisha kitu kinaitwa Mkakati 2013 kinacholenga kukisambaratisha chama hicho ili kuwaondoa madarakani Mwenyekiti na Katibu mkuu wake.
Nyadhifa alizovuliwa ni Unaibu katibu mkuu pamoja na Naibu kiongozi wa upinzani bungeni ambapo yeye, Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba na mwingine mmoja Makao makuu wamepewa siku kumi na nne wajieleze kimaandishi kabla ya kuchukuliwa hatua zaidi za kinidhamu ikiwemo kuvuliwa Uanachama.
EXCLUSIVE:check video mpya ya ‘nimevurugwa’ aliyoahidi Snura imetoka,noooma saaana.icheck chini
Snura alisema kwenye video ya ‘majanga’ hakuweza kucheza kama inavyotakiwa lakini huku kwenye ‘nimevurugwa’ ndio kajiachia.
EXCLUSIVE:Zitto Kabwe kuvuliwa nyadhifa zote Chadema.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemvua nyadhifa zote Naibu Katibu mkuu wake Zitto Kabwe ambae ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.
Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye makao makuu ya chama hicho, amesema Zitto na wenzake watatu wamebainika kukihujumu chama kwa kuanzisha kitu kinaitwa Mkakati 2013 kinacholenga kukisambaratisha chama hicho ili kuwaondoa madarakani Mwenyekiti na Katibu mkuu wake.
Nyadhifa alizovuliwa ni Unaibu katibu mkuu pamoja na Naibu kiongozi wa upinzani bungeni ambapo yeye, Dr. Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba na mwingine mmoja Makao makuu wamepewa siku kumi na nne wajieleze kimaandishi kabla ya kuchukuliwa hatua zaidi za kinidhamu ikiwemo kuvuliwa Uanachama.
Tuesday, November 19, 2013
EXCLUSIVE:Irene Uwoya awaonyesha mashabiki wake tatoo yake nyingine..icheki hapa.

Headline mpya kutoka kwake ni kuhusu picha alizo-post zikionyesha tatoo yake nyingine ambayo haijawai kuonekana kwasababu aliwai kuweka wazi tatoo mbili tu, moja ni nyayo za mwanae Krish iliyopo mgongoni na nyingine ipo kifuani.
Hii hapa ndiyo mpya kwa mashabiki wake ambayo ameiweka wazi leo.
Monday, November 18, 2013
Thursday, November 7, 2013
Exclusive: hii ndio video mpya ya Shilole “Nakomaa na jiji”check video chini
Jamani huruma: Jacklyn Walper adhalilishwa facebook awaomba mashabiki kuwa na roho ya huruma kidogo
Akionyesha kusikitishwa na kile kinachoendelea facebook, leo hii
muigizaji bongo movie,Jackline Walper ameanika maongezi yaliyokuwa
yakiendelea katika akaunti ya Walper fake kupitia facebook ikionyesha
chati iliyoonekana Walper akiomba sh 20,000 kwa ajili ya kununua umeme
mara baada ya kutaikiwa na umeme huku akifanya kazi zake kwenye
computer.
Walper aliweka maongezi hayo yakiambatana na manenoo haya kwa chini
wolpergambemashaniki zangu haya ndo mambo ya fc bk dah hvii kweli ndo wanavyonidhalilisha plz nisaidien ata kuamdika huko kwa fc bk zenu situmii jina lolote zaidi ta wolper gambe real .siyoo vzuri jamani muwe na roho ya huruma kdogo dah
Monday, November 4, 2013
Coming soon: Mansuli feat Nikki Mbishi na Belle 9
Underground King anaewakilisha Sinza Star, Mansuli anatarajia kudondosha
pini jipya, this time akiwa na Nikki Mbishi na Belle 9, Stay tuned
Sunday, November 3, 2013
Babaz NOORAH anarudi...??? sasa unajua safari hii anarudi akiwa na nani...?
Get ready for a brandy new song kutoka Kwa mwanachember Noorah ft Dully
Sykes and Chege production ikiwa ya Producer MbeZi Track inaitwa ACHA USHAMBA.
Subscribe to:
Comments (Atom)