Friday, October 4, 2013

Davido aonyesha picha za nyumba yake yenye thamani zaidi ya Tsh bilioni moja.nouma sanaaaaaaaa


2  
Msanii wa Nigeria “Davido” ambaye wiki kadhaa zilizopita alikuwa busy kwa kufanya show tofauti huko U.K, leo ame-share vipande tofauti vya picha za nyumba yake ambayo inakadiriwa kuwa na thamani zaidi ya Tsh billioni moja. Nchini Nigeria Davido yupo kwenye level za juu sana licha ya kuwa ni msanii ambaye hana miaka mingi kwenye game ya music
4

No comments:

Post a Comment