Wednesday, October 2, 2013

IRENE APUMZIKA KUIGIZA


Irene

Irene mtoto wa Uwoya amejipumzisha kuigiza wajameni, ameamua apumzike afanye ya kwake kwa sasa  kama vile kukurekebishia nyumba yako bure yaani ktk kipindi chake,  Irene ambaye kwa sasa anatingisha na show yake ya kuwasaidia wa Tanzania ambao wanaishi ktk nyumba zao mbovu na kuzifanya zipendeze, tumpe support ktk show yake hii mwanadada Irene

No comments:

Post a Comment