Wednesday, October 2, 2013

Licha ya kuvuja kwenye internet, album ya Drake imeshika namba moja kwenye chart ya Billbord Top 200


 
Licha ya kuvuja kwenye mtandao wiki moja kabla ya tarehe rasmi ya kutoka, album ya Drake Nothing wa The Same imeshika namba moja kwenye wiki yake ya kwanza tangu itoke na imekua album ya pili kwa kufanya mauzo mazuri...

No comments:

Post a Comment