Friday, October 4, 2013

Angalia hapa picha za actor JB akiwa kwenye kazi zake za kibalozi huko Lushoto.hii kali

JB_40
JB ni mmoja kati ya mabalozi wa Oxfarm Grow akiwepo pamoja na Dina Marios kutoka Clouds FM pamoja na mabalozi wengine. Hizi ni baadhi ya picha za JB akiwa wilayani Lushoto kwenye moja ya kazi zake za kibalozi
JB_3
JB_9
JB_14
JB_15

No comments:

Post a Comment