Monday, July 7, 2014

EXCLUSIVE:check new video kutoka kwa dimomd. zile video mbili alizoahidi Diamond kuzitoa leo zipo hapa ni mdogo mdogo na bum bum zote mbili check chini

mondd

mond2
July 07 ni siku ambayo Mama  wa Diamond Platnumz ni siku yake ya kuzaliwa na Diamond Platnumz aliahidi kutoa video zake mbili kama zawadi kwa mama yake ambazo zote kafanyia nje ya nchi.

Saturday, June 28, 2014

check new video ya ben pol.shuka chini

ben 1

Hii ni video ambayo imeongozwa na mshindi wa tuzo ya Muongozaji[Director] anayependwa Nisher kutoka Arusha,ni video ya pili kutoka kwa Ben Pol baada ya kufanya nae video ya Jikubali,baada ya kuangalia unaweza kuandika chochote ulichokipenda kwenye video hii.

angalia video mpya ya Shetta aliyofanyia South Africa.kerewa angalia chini new video

sheta



Baada ya kusubili kwa muda mrefu hivi sasa unaweza kuangalia video ya Sheta akiwa na Diamond kwenye video ya Kerewa Kerewa waliyo shoot South Africa. Video ina dakika 3 na sekunde 16, enjoy kuiangalia hapa.


CHECK NEW VIDEO YA JUX-NITASUBIRI

angalia chini video ya jux

Baada ya kuadhibiwa kwa kung’ata uwanjani, ndivyo alivyopokelewa suareeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzz


Suarez 1
Mchezaji wa timu ya taifa ya Uruguay Luis Suarez alipewa adhabu ya kutojihusisha na soka kwa muda wa miezi minne kutoka sasa baada ya kuthibitika kumng’ata mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini kwenye mechi za kombe la dunia.
Pamoja na kwamba Suarez mwenyewe amesema hakufanya hivyo makusudi na kuwa hiyo ni kawaida kwenye matukio yanayotokea uwanjani, alipewa adhabu hiyo kali ambayo pia imepingwa na mashabiki mbalimbali waliompokea ambao wanaamini kaonewa.
suarez 2

suarez 3

Sunday, April 13, 2014

Picha nyingine za Helikopta iliyoanguka na makamu wa Rais na kilichofanyika baada ya kuanguka tu

Screen Shot 2014-04-13 at 4.37.13 PM

 wakati inapaa kwenye umbali wa kama futi tano hivi kutoka uwanja wa ndege Dar es salaam, ilizidiwa na upepo ulioirudisha nyuma na kuangukia paa kabla ya kutua chini.
Kilichofanyika ni watu waliokuwemo kutoka nje harakaharaka kisha aliekua akiiendesha kufungua tenki la mafuta na kumwaga mafuta yote alafu baada ya muda mfupi vikosi vya zimamoto vikaanza kuipiga maji helikopta hiyo ili kuepusha mlipuko.
Unaambiwa kama ingekua ni majira ya moto, helikopta hii ambayo ilikua inawapeleka kutazama maafuriko yaliyookana na mvua Dar es salaam ingeweza kuwa kwenye hatari zaidi ya kulipuka.
Screen Shot 2014-04-13 at 4.37.31 PM
Ndani ya Helikopta walikuwepo watu mbalimbali akiwemo Makamu wa rais Dr. Bilal, Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Mecky Sadick.
Kama unahitaji matukio kama haya yasikupite, jiunge na mimi kwenye