Hii ni video ambayo imeongozwa na mshindi wa tuzo ya Muongozaji[Director] anayependwa Nisher kutoka
Arusha,ni
video ya pili kutoka kwa Ben Pol baada ya kufanya nae video ya
Jikubali,baada ya kuangalia unaweza kuandika chochote ulichokipenda
kwenye video hii.
No comments:
Post a Comment