Thursday, April 19, 2012

FORBES IMETANGAZA WASANII WATANO (5) WA HIP HOP WENYE MKWANJA.


Forbes imetangaza majina matano ya wasanii
 wa hip hop wenye mkwanja, Alieongoza
kwenye list hiyo ya forbes ni Sean “Diddy”
Combs akifuatiwa na Jay- Z, 50 cent,
Bryan “ Birdman” Williams na Dr Dre.
Diddy aliongoza kwa kuwa na dola laki
tano na hamsini ($550)..Vitega uchumi vya
 Diddy ana kinywaji ya Ciroc Vodka, kampuni
ya nguo za Sean John na Enyce, Record label
yake ya Bad Boy na vitu vingine alivyovianzisha
 ukiongezea na cable channel yake ya Revolt
itamfanya awe billionaire mwaka 2013.
Jay – Z anafuatia akiwa nafasi ya pili akiwa na
dola milioni mia nne na sitini ($460) kutokana
mauzo ya mavazi ya Rocawear milioni mia mbili
na 4 ($204) mwaka 2007. Dr Dre anafuata kwa
kuwa na dola milioni mia mbili na sabini ($270)
kutokana kitega uchumi chake cha Beats Electronics,
Wakati Birdman akishika nafasi ya nne (4) akiwa
anamiliki dola milioni mia ishirini na tano ($125)
kwa jina lake. Na 50 cent akafunga kwa kuwa
na dola milioni mia na kumi ($110) bank. Forbes
pia imetabiri kuwa Sean “ Diddy” Combs atakuwa
 msanii billionaire wa hip hop.

Wednesday, April 18, 2012

duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mpoki mkeka

alikua ni Man of the show...Nilicheka sana aisee 

Queen Dalin akichukua tuzo ya wimbo bora wa Ragga / Dancehall kulia ni Abby na kushoto ni Mr Taji Liundi

Prof J na Fella wakiwasilisha tuzo kwa Roma

Rappa bora alikua ni Kitokololo

Msanii kutoka THT akimwaga mavituuuuuuuz

THT dancers wakifanya mambo yao

Red carpet, kila mtu akifanya interview na mtu wake wengine wakisubiri kupiga pich
by japhet

YALIYOJIRI TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS (KTMA)

Roma akipokea tuzo yake. kaondoka home na tuzo mbili.msanii bora wa hip hop na wimbo bora wa hip hop (mathematics)

Diamond kwenye Red carpet akiwa na mama yake na friend

Warriors From East wakiondoka na tuzo yao ya Wimbo bora wa Reggae

Dushelele pia ilichukua tuzo..Ali Kiba akipokea tuzo hiyo kutoka kwa Dina Marios wa Leo Tena na Reinfred Masako

nyomi la Ukumbini na jinsi palivyopambwa
by japhet

AWAICHI MAWALA KUTOKA ZANTEL AKIKABIDHI TUZO KWENYE KTMA



Awaichi Mawala kutoka Zantel (kushoto) na Nassa Kingu (katikati) wakimkabidhi tuzo mtayarishaji bora wa muziki wa mwaka, Maneck kutoka katika studio ya AM Records kwenye hafla ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2012 iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam juzi.by japhet