TIWA SAVAGE, WIZKID, MABALOZI WAPYA WA PEPSI KUTOKA NAIGERIA
baada
ya miezi kadhaa ya maneno ya chini chini, sasa imethibitishwa kuwa
wawili hawa ndio mabalozi wapya wa PEPSI. Tiwa Savage na Wizkid
walitangazwa usiku wa jana katika exclusive event iliyofanyika Likwid
ndani ya Lagos
P SQUARE WAMPOTEZA MAMA YAO
Wasanii
wakubwa nchini Nigeria na duniani kote, P-Square wamempoteza mama yao
mzazi Mrs Okoye usiku wa kuamkia leo nchini India alipokuwa amepelekwa
kwa matibabu baada ya kuhamishwa kutoka katika moja ya hospitali kubwa
nchini Nigeria, St Nicholas iliyopo Yaba, Lagos.
inasemekana
mama wa wasanii hao, alikua ni moja kati ya nguzo yao kubwa kimuziki
kwa kuwapa ushauri na upendo usio na gharama yoyote.
arrangement zinafanyika ili kuurudisha mwili wa marehemu nchini Nigeria.


No comments:
Post a Comment