Baada ya umati wa watu waliohudhuria show ya Platnum wakirusha makopo stejini baada ya Diamond kuchelewa kupanda hizi ndio sababu zilitajwa kupelekea kuchelewa kwake.
mtandao wa kenya Ghafla umeripoti kuwa Diamond alichelewa kwasababu alikua akijifanya "Diva" pale ambapo kwa maksudi alijichelewesha Tanzania na hivyo kuchelewa ndege kuelekea Kenya.
Baada ya kuchelewa ndege Diamond alidai aletewe ndege binafsi (Private Jet) na National Media Group (NMG) ambapo iliwabidi wafanye hivyo.
So you wonder what led to Diamond being delayed?Apparently the concert was delayed because the 'Nataka Kulewa' singer was being a total diva.It is said that Diamond deliberately stalled in Tanzania therefore missing his plane to Kenya, he then demanded a private jet from the Nation Media Group. NMG had to bend over backwards and charter a private jet for the Tanzanian Superstar.
Mda mfupi baada ya Diamond kutua Mombasa aligoma ku-check in katika hoteli aliyoandaliwa (Mombasa Beach Hotel) ambapo ndipo show ilipokuwa ikifanyika na kusisitiza kuchukuliwa presidential suite White Sands Hotel ambayo iliwagharim mkwanja mrefu NMG.
Baada ya mahitaji yake kukamilishwa ndio Diamond alikubali kupanda stage, ila baada ya kukitifua mbaya stejini kama wa kweli kwa show na perfomance ya hatari na kuwaacha watu wakiwa na historia isiyofutika leo wala kesho, show ambayoinayoweza kuelezeka kama ya ki legendary.Mashabiki walitulia na kuimba nyimbo zake mwanzo mwisho..
mtangazaji katika video hii badala ya kusema Nasibu Abdul yeye kasema Kassim lol

No comments:
Post a Comment