
Kutokana na matukio ya watanzania wengi kujihusisha na usafirishaji wa
madawa haramu ya kulevya, serikali imekuwa makini sana kwa wasafiri
wanaotumia usafiri wa anga kutoka na kuingia ndani ya nchi, kuhakikisha
hakuna kila anaejihusisha na kazi hiyo kufikishwa katika mikono ya
sheria.

No comments:
Post a Comment