CHECK HILI JARIDA LILIVYOMUANDIKA JOKATE .noooma saaanaa
Hili ni Jarida jipya hapa Tanzania ambalo naambiwa Watanzania
wataanza kulipata mitaani kuanzia kesho Ijumaa ila leo badae Amplifaya
ya Clouds FM itafanya mpango wa kusikia kutoka kwa Jokate mwenyewe…. kaa
karibu na mtu wako wa nguvu millardayo kwenye facebook, twitter na
instagram kwa info zaidi.
No comments:
Post a Comment