EXCLUSIVE:Nay wa Mitego kuchuana na wasanii wakubwa wa Kenya na Uganda kwenye Nzumari awards.
Habari mpya kutoka kwa msanii Ney wa Mitego ni kwamba hivi sasa
amepata nomination mbili kwenye category mbili tofauti katika Nzumari
awards. Mwaka jana Diamond alishinda tuzo hizi na mwaka huu ni kwamba
wimbo wa Ney utashinda na nyimbo za wasanii wengine wa Africa Mashariki kwenye category ya wimbo bora wa Afrika Mashariki.
Ney akiongea na millardayo.com amesema,”Nimepata nomination mbili, ya
kwanza kwenye kipengele cha msanii bora wa kiume kutoka Tanzania ambapo
tupo mimi,Diamond,Ommy Dimpoz na Rich Mavoko. Kipengele kingine ni wimbo
bora wa Afrika mashariki ambapo nipo mimi na wimbo wa Muziki
gani,Mobima wa P unit na Badilisha wa Jose Chameleone”
All the best kwenye category wimbo bora wa Afrika mashariki.
No comments:
Post a Comment