Wednesday, October 9, 2013

Kuvuja kwa wimbo "Nikifa Kesho" Diamond amlaumu producer .nouma saaaaana




Diamond Platnumz leo hii amefunguka kuhusu kuvuja kwa ngoma yake "Nikifa Kesho"  ambapo amemlaumu producer na inaonekana sababu ni baada ya yeye kuacha kurecord katika studio hiyo.
Bado haijajulikana producer huyo ni nani hasa...endelea kufatilia hapa utajua nini chanzo sahihi hapa hapa kwenye blog yako ya kijanja

No comments:

Post a Comment