Manchester City v Chelsea Arsenal v Liverpool Sheffield United/Fulham v Nottingham Forest/Preston Brighton v Hull Cardiff v Wigan Sheffield Wednesday v Charlton Sunderland v Southampton Everton v Swansea
Taarifa ambazo mtandao huu umezipata hivi punde jina la Emmanuel Okwi halijaidhinishwa kwenye usajili wa klabu ya Yanga. Kwa maana hiyo Okwi hataruhusiwa kucheza
raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom mpaka sakata lake la usajili
kutoka klabu ya Etoile du Sahel litakapotafutiwa ufumbuzi.inatakiwa uthibitisho ndiyo harusiwe