Wednesday, January 22, 2014

EXCLUSIVE:USAJILI WA OKWI WAINGIA GUNDU

 



Taarifa ambazo mtandao huu umezipata hivi punde jina la Emmanuel Okwi halijaidhinishwa kwenye usajili wa klabu ya Yanga.
Kwa maana hiyo Okwi hataruhusiwa kucheza raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom mpaka sakata lake la usajili kutoka klabu ya Etoile du Sahel litakapotafutiwa ufumbuzi.inatakiwa uthibitisho ndiyo harusiwe



No comments:

Post a Comment