Saturday, June 28, 2014
check new video ya ben pol.shuka chini
Hii ni video ambayo imeongozwa na mshindi wa tuzo ya Muongozaji[Director] anayependwa Nisher kutoka Arusha,ni video ya pili kutoka kwa Ben Pol baada ya kufanya nae video ya Jikubali,baada ya kuangalia unaweza kuandika chochote ulichokipenda kwenye video hii.
angalia video mpya ya Shetta aliyofanyia South Africa.kerewa angalia chini new video

Baada ya kusubili kwa muda mrefu hivi sasa unaweza kuangalia video ya Sheta akiwa na Diamond kwenye video ya Kerewa Kerewa waliyo shoot South Africa. Video ina dakika 3 na sekunde 16, enjoy kuiangalia hapa.
Baada ya kuadhibiwa kwa kung’ata uwanjani, ndivyo alivyopokelewa suareeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzz
Pamoja na kwamba Suarez mwenyewe amesema hakufanya hivyo makusudi na kuwa hiyo ni kawaida kwenye matukio yanayotokea uwanjani, alipewa adhabu hiyo kali ambayo pia imepingwa na mashabiki mbalimbali waliompokea ambao wanaamini kaonewa.
Subscribe to:
Comments (Atom)




