MANAGER WA LIVERPOOL AFUNGUKA
afunguka akisema kuwa timu yake imejianda vizuri na msimu unaokujalicha yakuwa na matokeo mabaya katika mechi zake za kirafiki ambapo aliwahi kupata
kichapo cha magori 3-1 na kile cha magori3-0 lakini aliongeza akisema kuwa amekaa na timu
yake na kuona mapungufu yaliyojitokeza katika mechi hizo za kirafiki na aliongeza kwa kumwa
gia sifa tele kiungo mshambuliaji wake mwenye raiya wa uholanzi simwingine ni kuty kuwa kija
na huyo anjituma akiwa uwanjani na hata katika mazoezina alimaliza akisema kuwa anatarajia
kumaliza ligi katika nafasi nne za juu.
.
MAN U ATWAA UBINGWA WA NGAO YA JAMII
Man U atwaa ubingwa wa ngao ya jamii baada ya kuifunga Man City kwa jumla ya mabao 3-2 man city walikuwa wa kwanza kupata magori katika kipindi cha kwanza kupitia EDWIN NZEKO na
JAMES MILNER man u walienda mapumziko wakiwa nyuma kwa magori mawili kwa buyu ila walivyorudi
mapumziko man u walikuja kwa nguvu mpya nakufanikiwa kurudisha magori yote na kuongeza
alikuwa LUIS NANI alianza kuludisha gori la kwanza na baadae alikuwa ni mchezaji mpya wa
mashetani hao aliyetokea klabu ya ASTONVILLA si mwingine ni ASHLEY YOUNG aliyeipatia man u
gori la pili na baadae LUIS NANI tena alikuja kumalizia kazi kwa kufungua gori la tatu kwa
man u na kuiongoza timu yake kuchukua kombe hilo.
ARSENAL KIMBEMBE NA UDENESE KOMBE LA UEFA
Arsenal anakimbembe cha kwenda kupambana na Udenese katika kuwania kufuzu katika michuanobarani ulaya .kwa upande wa manager wa arsenal amefunguka akisema kuwa mechi itakuwa ngumu
ila hanabudi kupigana kiume ili hakikishe kuwa anaibuka na ushindi.
'NEYMAR NENDA REAL MADRID UKAJIMALIZE'
KOCHA wa klabu ya santos ya Brazil,Muricy Ramalho amempa ushauri mshambuliaji wake kinda,Neymar kwamba atakuwa na wakati mgumu ikiwa atajiunga na Real Madrid ya Hispania.Kinda huyo
wa Brazil amekuwa akiwaniwa na klabu kubwa,lakini inatajwa kuwa anauwezekano wa kutua katika
kikosi cha Madrid ikiwa klabu hiyo ya Hispania itakuwa tayari kutoa kitita cha euro milion
45(sh bilioni 81)."Mchezo wa Madrid ni wa kushambilia zaidi wakati neymar anapenda kucheza
soka la mitaani,anataka awe huru.Barcelona inacheza soka la kiufundi,mfumo wake ni kama
wabrazil na ndiyo
CRAIG BELLAMY BACK TO LIVERPOOL
Ni faraja ya hali ya juu mshambuliaji mweny uraia wa wales kurejea katika klabu yake ya zamani ni kipindi kikubwa sana tangia
"BELLAMY"aondoke liverpool ila katika hali ya kushangaza bellamy kurejea kwenye timu yake ya
zamani baada ya kuchukuliwa kwa mkopo kwa kipindi cha miaka miwili kutoka man city kwenda
liverpool.na sasa kuja kurejesha ile hamasa ya ushambiliaji katika safu ya liverpool katika
misimu hii miwili aliyo sajiliwa nayo na upande mwingine STEVEN GERRAD amesikika akilonga
hivi sasa liverpool tuna ahueni baada ya kupungua kasi baada yokuondoka torres katika safu ya
ushambuliaji katika klabu yake.
No comments:
Post a Comment