Real Madrid wamemuweka mshambuliaji wa kimataifa wa Man United Javier Hernandez Chicharito kama mchezaji namba moja katika listi ya wachezaji wapya wanaotakiwa na klabu hiyo.
The Spanish giants wameweka kiasi cha £30 million kwenye meza kwa ajili mchezaji huyo raia wa Mexico , lakini Boss wa United Sir Alex Ferguson yupo desparate kuhakikisha “Little Pea” anabaki Old Trafford.
United wanataka kumpa mkataba mpya wa miaka 5 ambao utaongeza mshahara wa Chicharito mara 3, kwa sasa anapata kiasi cha £25,000.swali linakuja ferguson atamluhusu aondoke kama alivofanya kwa cristian?

No comments:
Post a Comment