Tuesday, February 19, 2013

DIAMOND: SIMU ILIYOIBIWA IMESABABISHA KUVUJA KWA NGOMA YANGU "UKIMUONA"


    Ngoma mpya kutoka kwa Diamond iliyovuja kupitia kwenye mitandao mbali mbali "ukimuona" ambayo pia inasikika kupitia Club mbali mbali, inasemekana kuwa ni demo, haikua imekamilika, lakini baada ya kupoteza sim yake aina ya Blackberry  iliyokua kwenye moja ya gari zake, ndio imesababisha kuvuja kwa wimbo huo.. "kweli kabisa siku release na hiyo nyimbo hapo ilipo haijaisha kabisa,

ROMA AFAFANUA MSTARI UNAOONEKANA KUMDISS JOE MAKINI NA KUSEMA HIYO SIO DISS KWA JOE


 Kupitia top 20 ya Clouds Fm leo hii, Roma amefunguka na kutoa ufafanuzi juu ya line iliyoko kwenye ngoma yake mpya 2030 iliyosababisha watu wengi kuuona kama ni diss moja kwa moja kwenda kwa mwamba wa kaskazini Joe Makini.kabla hujamsikiliza alichokizungumza, roma pia alitoa ufafanuzi huo kupitia ukurasa wake wa facebook na hiki ndicho alichokiandika    R.O.M.A 2030 HUWEZI .