Kupitia top 20 ya Clouds Fm leo hii, Roma amefunguka na kutoa ufafanuzi
juu ya line iliyoko kwenye ngoma yake mpya 2030 iliyosababisha watu
wengi kuuona kama ni diss moja kwa moja kwenda kwa mwamba wa kaskazini
Joe Makini.kabla hujamsikiliza alichokizungumza, roma pia alitoa
ufafanuzi huo kupitia ukurasa wake wa facebook na hiki ndicho
alichokiandika
R.O.M.A 2030 HUWEZI .
No comments:
Post a Comment