Thursday, June 27, 2013

DRAKE ANUNUA MZIGO WOTE WA ALBUM YA J COLE "BORN CINNER"


  baada ya kupanda stage  na J cole kwenye show yake ya "Dollar And Dream", Drake alienda katika moja ya maduka yaliyokuwa karibu eneo la union square na kununua mzigo wote wa album ya J Cole "Born Cinner" uliokuwepo katika duka hilo.
wakati wawili hao wakiwa ndani ya duka hilo walifuta shelve lote lenye album hiyo ya Cole na  wakanunua na cd album zingine zikiwemo za Sade, French Montana, Kendrick Lamar, na The Weeknd.

No comments:

Post a Comment