Thursday, June 27, 2013

OMMY DIMPOZ AELEZEA SAKATA LA KUPIGWA MAKOPO YA MAJI DODOMA inasikitisha


Baada ya kutokea amesema sijasema, ni kweli ni uongo wiki iliyopita, kuhusu kutoa maneno ya dharau kwa Marehem Albert Mangweha a.k.a Ngwea, (ujinga wake umemfanya afe maskini), Ommy Dimpoz ametokea kupokea makopo na chupa akiwa stajini  (Kili tour) siku ya jumamosi ndani ya dodoma, Ommy alionekana steji akiwa anaimba na kukwepa makopo kwa wakati mmoja na baada ya kushindwa kuyavumilia aliamua kuachia stage na kushuka chini na mwisho kuondoka na kurudi hotelini alipofikia by japhet

No comments:

Post a Comment