Ijumaa ya week
ijayo tarehe 1 msanii wa Hip Hop nchini atakuwa anasherehekea siku yake
yakuzaliwa pande za Hood yake Tabata. Moxie amesema mbali na
kusherehekea siku yake yakuzaliwa hiyo pia anatakuwa akizindua video ke
mpya kabisa inayokwenda kwa jina la PIGA MAKOFI. Ameomba ndugu jamaa na
marafiki kujitokeza siku hiyo kwani kiingilio ni sawa na bure shilling
elfu 5 tu na utapata BBQ bureeeeeeeee huku ukipata huduma nzuri kabisa
kutoka kwa wahudumu waliobobea kwenye kazi yao hapo VIENA PUB iliyopo
Tabata

No comments:
Post a Comment