Thursday, October 20, 2011

YANGA NA KAGERA SUGAR ZAINGIZA MILLION 42


Mechi namba 58 ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Yanga na Kagera Sugar iliyochezwa Oktoba 14 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam iliingiza sh. 42,810,000. Watazamaji waliokata tiketi kushuhudia mechi hiyo walikuwa 11,559.
Watazamaji 11,787 walikata tiketi kushuhudia mechi namba 62 ya ligi hiyo kati ya Simba na African Lyon iliyochezwa Oktoba 16 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mechi hiyo iliingiza sh. 41,800,000.
Nayo mechi namba 60 kati ya JKT Ruvu na Azam iliyochezwa Oktoba 15 mwaka huu kwenye Uwanja wa Azam Chamazi iliingiza sh. 909,000 kutokana na watazamaji 303 waliokata tiketi kushuhudia mechi hiyo.

Oct NGORONGORO HEROES YAPANGWA NA SOUTH AFRICA COSAFA CUP


Timu ya taifa chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes ipangwa kundi C pamoja na South Africa katika michuano ya vijana ya COSAFA itakayofanyika nchini Botswana.

Ngorongoro heroes itashiriki kama timu mualikwa katika mashindano hayo yanayohusisha timu za Taifa za vijana chini ya miaka 20 kwa mataifa ya kusini mwaafrica.

Ngorongoro wamepangwa kundi C pamoja na South Africa, Zambia, na Mauritius, wakati kundi A lina timu za Botswana, Comores, Swaziland na Mozambique.

Kundi B lina timu toka Seychelles, Malawi, Lesotho na Zambia na Kundi D lina timu za Angola, Madagascar, Namibia na Zimbabwe.

Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza december 01 mwaka huu kwa mchezo kati ya Botswana na Comores, wakati Swaziland ikiwakabili Mozambique siku hiyo ya ufunguzi.

Ngorongoro watafungua kwa kucheza na Zambia december 2 wakati Angola wakicheza na Madagascar, Namibia na Zimbabwe, South Africa na Mauritius, Seychelles na Malawi siku hiyo.

Monday, October 17, 2011

Game  aonyesha upande wake wa kimaromantic jana alipomvisha pete girlfriend wake wasiku nyingi mbele ya watoto wake na marafiki wa karibu.
Game na crew ya camera man kadhaa walitimba katika shule ya msingi, ambapo mama wa watoto wake Tiffany anafanya kazi na kumuomba mkuu wa shule kumuita Tiffany kwenye kikao.

MISS KAMPALA INTERNATIONAL 2011 KUFANYIKA TAREHE 22 OCT

  Shindano la kumsaka mrembo wa chuo kiu cha Kmpala International University 2011 litarajiwa kufanyika jumamosi hii katika ukumbi wa Savanna Lounge (quality center) uliopo barabara ya Pugu,jumla ya warembo 12 wamejitokeza kuwania taji hilo siku ya tarehe 22 octoba.



Shindano litapambwa na wasanii wa kizazi kipya kipya Dully sykes,D-nob,Ngoma za asili na vijana wa kutikisika(shers),mabali ya burudani hizo kutakuwa na suprize ya majai pamoja masupastaa wa movie.


Miss Kampala Internationa 2011 imeandaliwa na serikali ya wanafunzi ikishirikana na wadau maarufu wa mabo ya urembo na mitindo nchini Tanzania,tiketi za fainali hizi zinapatikana CLOUDS fM,CHUONI KWAO,JB BELMONT HOTEL,SAVANNA LOUNGE(quality center)kitchen hut (mlimani city) kwa iasi cha 10,000/= (regular) na V.I.P 30,000/=

Tuesday, October 11, 2011

VIGOGO WATUPWA NJE KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA 2012


Group A
Team
Pld
W
D
L
GF
GA
GD
Pts
6
3
1
2
9
6
+3
10
6
3
1
2
7
7
0
10
6
2
2
2
7
5
+2
8
6
1
2
3
7
12
−5
5

Group B

Team
Pld
W
D
L
GF
GA
GD
Pts
6
4
2
0
13
5
+8
14
6
3
2
1
12
5
+7
11
6
2
1
3
8
13
−5
7
6
0
1
5
4
14
−10
1

WATANZANIA WALIA NA MAXIMO

Ni bada ya kutolewa katika kufuzu kombe la mataifa huru ya Africa watanzania sasa waanza kukumbuka fadhila za Maximo na kuomba second chance kwa Maximo kuja tena kuinoa timu yetu ya Tanzania (taifa stars).je Maximao atakubali kurejea kuifundisha taifa stars?

REAL MADRID YAMTAKA CHICHARITO KWA £30 MILLION .je? babu atakubali?

Real Madrid wamemuweka mshambuliaji wa kimataifa wa Man United Javier Hernandez Chicharito kama mchezaji namba moja katika listi ya wachezaji wapya wanaotakiwa na klabu hiyo.
The Spanish giants wameweka kiasi cha £30 million kwenye meza kwa ajili mchezaji huyo raia wa Mexico, lakini Boss wa United Sir Alex Ferguson yupo desparate kuhakikisha “Little Pea” anabaki Old Trafford.
United wanataka kumpa mkataba mpya wa miaka 5 ambao utaongeza mshahara wa Chicharito mara 3, kwa sasa anapata kiasi cha £25,000.swali linakuja ferguson atamluhusu aondoke kama alivofanya kwa cristian?

ANZHI KUTOA OFA YA £200,000 KWA ASHLEY COLE


Baada ya kumfanya Samuel Eto’o kuwa mchezaji tajiri barani Afrika na mchezaji analipwa mshahara mkubwa kuliko mcheza soka yoyote matajiri wapya barani klabu ya Anzhi Makhachkala wanajipanga kuivamia Chelsea na kumsaini Ashley Cole.
The Russian mega-spenders wapo tayari kumpa ofa ya mshahara wa £200,000 kwa wiki Ashley Cole.
Anzhi ambayo inamilikiwa na tajiri wa kirusi Suleyman Kerimov tayri wameshavunja rekodi ya mishahara barani ulaya kumpa Eto’o mkataba ambao unamfanya aweke kibindoni £350,000 kwa wiki.
Sasa Cole, ambaye mkataba wake na Chelsea unakimbilia ukingoni mwishoni mwa msimu ujao ameibuka kama target mpya ya klabu hiyo, na inavyoonekana dili hilo litakuwa majaribu makubwa kwa beki huyo wa kushoto wa England.
Kocha mchezaji wa Anzhi Roberto Carlos ameiambia bodi ya wakurugenzi ya timu hiyo kuwa Ashley ndio mtu anayemuhitaji katika kikosi chake kama mrithi wake.
Mbrazil huyo wambaye alikuwa ndio mchezaji mkubwa wa kwanza tajiri Kerimov kumsajili anatarajiwa kustaafu msimu huu mwishoni.
Carlos tayari ameshawataja wachezaji wengine anaowahitaji kuwa ni Nicolas Anelka, Robin Van Persie na Neymar.

Monday, October 10, 2011

MCHEZAJI MWENYE BEI KUBWA AFRICA

Mchezaji huyu ambaye ni raia wa cameroon ndiye anayeongoza kwa kulipwa ela nyingi kuliko mchezaji yeyote katika bara ra Africa.Ni baada ya kujiunga na timu ya huko Urusi e'tto sasa anavuta mkwanja mkubwa sana katika ardhi yetu ya AFRICA.Hata hivyo lakini timu yao imeshidwa kufuzu kucheza michoano ya mataifa huru ya Africa.

Sunday, October 9, 2011

WALETE HAO MAN U

Nikatika joto likiwalikizidi kuwa kubwa kati ya man u na liverpool mshambuliaji wa liverpool amefunguka na kusema kuwa timu yao ipo katika maandalizi mazuri tu katika kuikabili timu ya mashetani wekundu hao.aliongeza akisema kuwa mashetani hao wapo katika morari kubwa kwa sababu hadi sasa ajafungwa ata mechi moja hata hivyo wanamatumaini makubwa ya kuweza kuibuka na ushindi halimaliza akisema hivyo.

habari zilizo leta mzuto miezi iliyopita


JAPHET
WELCOME TO "JAPHET KAGOMBORA"WEBSITE ........................

MANAGER WA LIVERPOOL AFUNGUKA


afunguka akisema kuwa timu yake imejianda vizuri na msimu unaokuja
licha yakuwa na matokeo mabaya katika mechi zake za kirafiki ambapo aliwahi kupata
kichapo cha magori 3-1 na kile cha magori3-0 lakini aliongeza akisema kuwa amekaa na timu
yake na kuona mapungufu yaliyojitokeza katika mechi hizo za kirafiki na aliongeza kwa kumwa
gia sifa tele kiungo mshambuliaji wake mwenye raiya wa uholanzi simwingine ni kuty kuwa kija
na huyo anjituma akiwa uwanjani na hata katika mazoezina alimaliza akisema kuwa anatarajia
kumaliza ligi katika nafasi nne za juu.

.

MAN U ATWAA UBINGWA WA NGAO YA JAMII

Man U atwaa ubingwa wa ngao ya jamii baada ya kuifunga Man City kwa jumla ya mabao 3-2
man city walikuwa wa kwanza kupata magori katika kipindi cha kwanza kupitia EDWIN NZEKO na
JAMES MILNER man u walienda mapumziko wakiwa nyuma kwa magori mawili kwa buyu ila walivyorudi
mapumziko man u walikuja kwa nguvu mpya nakufanikiwa kurudisha magori yote na kuongeza
alikuwa LUIS NANI alianza kuludisha gori la kwanza na baadae alikuwa ni mchezaji mpya wa
mashetani hao aliyetokea klabu ya ASTONVILLA si mwingine ni ASHLEY YOUNG aliyeipatia man u
gori la pili na baadae LUIS NANI tena alikuja kumalizia kazi kwa kufungua gori la tatu kwa
man u na kuiongoza timu yake kuchukua kombe hilo.

ARSENAL KIMBEMBE NA UDENESE KOMBE LA UEFA

Arsenal anakimbembe cha kwenda kupambana na Udenese katika kuwania kufuzu katika michuano
barani ulaya .kwa upande wa manager wa arsenal amefunguka akisema kuwa mechi itakuwa ngumu
ila hanabudi kupigana kiume ili hakikishe kuwa anaibuka na ushindi.

'NEYMAR NENDA REAL MADRID UKAJIMALIZE'

KOCHA wa klabu ya santos ya Brazil,Muricy Ramalho amempa ushauri mshambuliaji wake kinda,
Neymar kwamba atakuwa na wakati mgumu ikiwa atajiunga na Real Madrid ya Hispania.Kinda huyo
wa Brazil amekuwa akiwaniwa na klabu kubwa,lakini inatajwa kuwa anauwezekano wa kutua katika
kikosi cha Madrid ikiwa klabu hiyo ya Hispania itakuwa tayari kutoa kitita cha euro milion
45(sh bilioni 81)."Mchezo wa Madrid ni wa kushambilia zaidi wakati neymar anapenda kucheza
soka la mitaani,anataka awe huru.Barcelona inacheza soka la kiufundi,mfumo wake ni kama
wabrazil na ndiyo

CRAIG BELLAMY BACK TO LIVERPOOL

Ni faraja ya hali ya juu mshambuli
aji mweny uraia wa wales kurejea katika klabu yake ya zamani ni kipindi kikubwa sana tangia
"BELLAMY"aondoke liverpool ila katika hali ya kushangaza bellamy kurejea kwenye timu yake ya
zamani baada ya kuchukuliwa kwa mkopo kwa kipindi cha miaka miwili kutoka man city kwenda
liverpool.na sasa kuja kurejesha ile hamasa ya ushambiliaji katika safu ya liverpool katika
misimu hii miwili aliyo sajiliwa nayo na upande mwingine STEVEN GERRAD amesikika akilonga
hivi sasa liverpool tuna ahueni baada ya kupungua kasi baada yokuondoka torres katika safu ya
ushambuliaji katika klabu yake.




  • click here to go GOOGLE

  • click here to go FACEBOOK


  • Nani mkali kati ya zidane & gaucho click hapo uone uhondo wa mpira na midude katika soka barani ulaya

    YANGA YAKUMBUKA KIPIGO ALICHOPATA KUTOKA SIMBA


    japhet kagombora


    JOKE

    The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog.
    The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog.
    The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog. The quick brown fox jumps over the lazy dog.

    YANGA AFA 2-0

    Yanga afa mbili mtungi mbele ya mnyama
    baada ya uzembe waliyofanya yanga katika kipindi cha kwanza ndipo simba na po walipo chukua
    udhaifu huo wa watani wao na kuweza kufunga mabao mawili yaliyo fungwa na mchezaji wao wa
    kigeni FELEX SUNZU katika kipindi cha kwanza na baadae huyohuyo ndio
    aliyepeleka kipigo tena kwa yanga baada ya mchezaji wa yanga kufanya mazambi kwenye box
    nakuisababishia yanga kupata kupigiwa pelnalt

    BACK TO HOME
    mbaba afumaniwa na mke wa mtu click hapo juu hupate mkasa wote duhh aibu jitu zima